Waziri anayehusika na wizara ya nishati na madini Mh.sospetr mhongo amewaagiza wawekezaji wa migodi ya mchuchuma na liganga kuachia ngazi kama hawana uwezo wa miradi hiyo mapema.
Hayo ameyasema alipofanya ziara katika migodi hiyo mikubwa hapa Nchini Tanzania na kubwa zaidi kutaka kujua bei ya kuuza kwa umeme
aidhaamewataka wafanyakazi wa NDC kuwa wazalendo zaidi kwa nchi yao badala ya kuwa nyenyekea wawekezaji wasio kuwa a tija njema kwa taifa lao
waziri huyo pia amewaambia wawekezaji wa migodi hiyo watapokonywa leseni leseni ya NDC na kampuni ya china ya HONGDA kama hawatatoa majibu siku ya juma mosi wikii juu ya ulipwaji wa fidia kwa wananchi wanaokaa karibu na migodi ya mchuchuma na liganga
naye mbunge wa jimbo la Ludewa deo ngalawa amekerwa na kile walicho kiita utapeli wa wawekezaji katika wilaya ya ludewa mkoa wa njombe haswa katika migodi mikubwa hiyo hapa nchini..
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment