LIGI KUU ENGLAND
Matokeo:
Jumatatu Desemba 28
Crystal Palace 0 Swansea 0
Everton 3 Stoke 4
Norwich 2 Aston Villa 0
Watford 1 Tottenham 2
West Brom 1 Newcastle 0
Arsenal 2 Bournemouth 0
Man United 0 Chelsea 0
West Ham 2 Southampton 1
+++++++++++++++++++++
Arsenal 2 Bournemouth 0
KONA ya Mesut Ozil ikiunganishwa na Kichwa cha Gabriel na Bao la Ozil limewapa Arsenal ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Bournemouth Uwanjani Emirates na kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England.
Uongozi huu wa Arsenal unaweza kudumu hadi Jumanne Usiku wakati Leicester City, wakiwa Nyumbani, watacheza na Man City na ushindi kwao utawatoa Arsenal kwenye usukani.
VIKOSI:
Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs, Ramsey, Chambers, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Walcott, Giroud
Akiba: Debuchy, Koscielny, Ospina, Monreal, Campbell, Iwobi, Reine-Adelaide.
Bournemouth: Boruc, Smith, Francis, Cook, Daniels, Surman, Ritchie, Gosling, Arter, Pugh, King
Akiba: Rantie, Stanislas, Federici, Tomlin, Distin, Murray, O’Kane.
REFA: Roger East
+++++++++++++++++++++
West Ham 2 Southampton 1
West Ham wamepata ushindi wao wa kwanza kwenye Ligi baada ya Miezi walipotoka nyuma na kuifunga Southampton kwa Bao la Andy Carroll alitokea Benchi.
Souhtampton waliongoza kwa Bao la kujifunga wenyewe la Carl Jenkinson na kusawazisha Kipindi cha Pili kupitia Michail Antonio.
VIKOSI:
West Ham: Adrian, Jenkinson, Collins, Tomkins, Ogbonna, Song, Kouyate, Antonio, Noble, Zarate, Valencia
Akiba: Randolph, Carroll, Obiang, Lanzini, Hendrie, Oxford, Cullen.
Southampton: Stekelenburg, Martina, Fonte, van Dijk, Bertrand, Wanyama, Romeu, Tadic, Mane, Steven Davis, Long
Akiba: Yoshida, Clasie, Ward-Prowse, Juanmi, Ramirez, Gazzaniga, Caulker.
REFA: Michael Oliver
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumanne Desemba 29
2245 Leicester v Man City
Jumatano Desemba 30
2245 Sunderland v Liverpool
Jumamosi Januari 2
1545 West Ham v Liverpool
1800 Arsenal v Newcastle
1800 Leicester v Bournemouth
1800 Man United v Swansea
1800 Norwich v Southampton
1800 Sunderland v Aston Villa
1800 West Brom v Stoke
2030 Watford v Man City
Jumapili Januari 3
1630 Crystal Palace v Chelsea
1900 Everton v Tottenham
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment