LIGI KUU VODACOM
RATIBA:
Jumapili Novemba 1
African Sports 0 JKT Ruvu 2
Azam FC 5 Toto Africans 0
Tanzania Prisons 2 Ndanda FC 2
+++++++++++++++++++++++++++
Shomary Kapombe ndie aliefungua Mabao kwa kupachika Goli katika Dakika za 34 na 36 na kisha Kipre Herman Tchetche kuipa Azam FC Bao la 3 kwenye Dakika ya 45.
Hadi Haftaimu, Azam FC 3 Toto Africans 0.
Kipindi cha Pili, Azam FC walifunga Bao la 4 baada ya Toto Africans kujifunga wenyewe na Didier Kavumbangu kupiga Bao la 5.
Baada ya Mechi 9 Azam FC wapo juu na wana Pointi 25 wakifuatiwa na Mabingwa Watetezi Yanga wenye Pointi 23.
LIGI KUU VODACOM
RATIBA
Jumatatu Novemba 2
Mgambo JKT v Stand United
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment