simulizi.SECONDARY SCHOOL sehemu ya 22



















SECONDARY SCHOOL

Sehemu Ya 22

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓

Mungu wangu nilijikuta mwili umenilegea afu mikono yangu ilikua kiunoni kwa zai... afu tulikua tunaangaliana huku zai akifanya kusudi kunigusisha matiti yake.... Nikamwambia kua
"za........."
Niliwahiwa kuzibwa mdomo kisha nikaona kamguu ka zai kanapanda juu taratiiibu kabisa
Nikajua heeeeee sasa yale ya ndoto yanakwenda kutimia
"sheby mdogo waaaanguuuu"
"mmmhhhh?"

TELEZA NAYO



Daaahh huezi amini leo natembea na dada angu zai. maana nilikua sina jinsi ya kumkwepa Coz alishanibananisha kwenye 18 zake. na nilikua nimeshalegea legeee.
Sasa kwakua kitendo hicho sikihitaji na wala sitaki kitokee kabisa. kwanza mungu hapendi afu bado vile vile ni dada yangu tumbo moja.. Daahh aisee haya malezi mengine ni mabaya sana. Sasa kwakua sikipendi kile kitendo kitokee hivyo nilianza kujiwa na mawazo ya kutafuta njia ya kumuacha njiani... kabla sijaanza kufanya yangu Aliniita
"sheby mdogo waaanguuuu?"
Nikamuitikia
"mmmmmmhh"
"kuna kitu nataka nikuambie"
Sasa kabla hajasema hicho kitu. mimi nikaanza kumdanganya
"yule panya uyo apo nyuma yako"
Aaaaisee aliruka na kupoteza point ambayo amefikia. Sasa alivyoruka na mimi nikapata nafasi ya kuvuta brangeti langu na kujikunja kama vile sikui chochote....
"sasa unalala nini?"
"we lala bana.. afu kuanzia leo sitaki kukuona chumbani kwangu fala wewe"
"sheby? unantukana mimi fala?"
"ndiooo.. na kesho namwambia mamaa kwa tabia yako mbaya, mschiuuuuu, Kazi kunifundisha tu ujinga wako huo"
"ah ah sheby yaishie hapa hapa kama vip sikugusi tena"
Nilikua nina hasira huku nikimshukuru mungu kwa kuniokoa na janga hili. Maana dada zai kalelewa vibaya sana kiasi kwamba ananitaka hata mimi mdogo wake, Yaani haya malezi ya kidigitali ni mabaya sana. na miaka 10 baadae watu watakuja kuoana ndugu kwa ndugu kwa huu Udigitali wao wenye malezi ya bata.... mschiuuuuu pumbavu sana haya malezi ya kidigitali haya. na hiii yote ni sababu ya mama tu

BAADA YA USIKU HUO KUPITA

Na sasa ni asubuhi mida ya saa 12 Nikiwa najiandaa kwenda shule ila nilikua na mawazo juu ya madam fau. Maana kitendo cha kumtoroka kilikua ni kitendo kibaya sana coz tayari nimeijua siri yake ya kupenda kusex na uume wa kutengeneza ( sextoy ) Nilikua navaa yunifom zangu huku zai akiwa bado kalala tuuu.
Mara mama katokea huku akimuita zai
"zai? we zai?"
"mmmhhh?"
"heeeee mwanangu? yaani umelala itafikiri chumbani kwako?"
Nikamsalimia huku nikiendelea kuchomekea shati
"shkamoo mamaa?"
"marahaba umeamkaje?"
"aaaa tunamshukuru mungu?"
"kwanza umekumbuka kunywa dawa jana?"
"ndio nilikunywa"
"hebu huna joto joto? maana katika watoto wangu wote hua wewe unakua na joto sana"
Mama angu alikua akija huku akinishika shavu na kichwa ili kuangalia kama nna joto la maralia sugu
"mamaa mi mbona nishaapona"
"Ah ah bado bwana.. mpaka dozi iishe"
"haaaaaaaaaa mamaa lile fuko lote lile aseee hadi liishe?"
"sio lote bwana bali ni nusu yake"
"mungu wangu eeeee sasa si mtaniua na hivyo vidonge mamaa?"
"weee sheby? ivi unapenda kujitabiria kufa wewe?"
"sio kujitabiria mamaa, ila ile midonge ni mingi mno aseee"
"usijali bwana sio lazima uzimalize mwanangu sawa?"
"sawa"
Akamgeukia za na kumuamsha tena maana aliamshwa afu akarudi kulala tena
"we zai?"
"nini bwana mama?"
"hebu amka uende shule mwananguu"
"aaaaaaaahhhh bwana mi nimechoka na hizi shule zenu"
"yaani mdogo wako kaamka kaenda kuoga kamaliza we umelala tu? hebu amka ukoo"
Sasa alipoamka akawa anatafuta tisheti yake ambayo aliivua jana. Sasa akaamka hivyo hivyo na matt wazi huku akiwa kavaa tait tuu, kwani hata sketi jana aliivua kabisa eti kisa kuna joto.
"heeeeeeee zaituni mwanangu? ivi unamkalia mdogo wako hivyo kweli?"
"mama si kulikua kuna joto"
"mshenzi mkubwa wewe, hivi hujui kua sheby ni mdogo sana?"
"sasa si kulikua na joto mamaa?"
"pumbavu wewe hebu jifunike shuka kwanza mbwa wewe"
"sawa tu mamaa we ntukane tu"
"mbona unamkuza mdogo wako zai? eeeee? hebu vaa haraka"
Saa hio zai akikoromewa na mamaa mimi nilikua nachukua zangu begi huku nikianza kujisogeza kwa kuondoka,
"sheby mwanangu? kunywa chai ndio uende shule sawa baba?"
"sawa"
Mara zai kadakia juu kwa juu
"heeee unavompenda sheby yani kuliko hata sisi"
"sasa nyie si wakubwa nyie, eee? dada yako sauda nimemzaa mwaka 1991 na wewe nimekuzaa mwaka 1993 na huyu mdogo wenu nimemzaa 1995 Sasa kwanini nisimpende kiziwanda wangu mdogo? Eti baba mzazi? hebu twende achana na huyu mwenda wazimu"
Nilitoka chumbani kwangu huku tukimuacha zai akiendelea kutafuta sketi na tisheti yake. maana jana aliivua bila kujua alipoiweka

Nilipofika tu mezani nilipokelewa na mabusu ya kutosha na Anti mwaju huku akinikaribisha chai, Maana yeye ndio anaeruhusiwa kutuandalia chakula coz anazingatia usafi na ujuaji zaidi kuliko hawa wadogo ambao wapo kwa sasa. Maana tuna mahouse girl wanne wa ndani na mmoja wa nje hivyo kwa ujumla wapo watano na wote wana elimu ya ukweli vibaya.... sasa hawa wanne hawajaruhusiwa kuwatengea chakula watoto wa mabosi. maana si unajua kazi za wasichana zilivyo? coz anakutengea chakula huku kakubinulia mdomo au akaweka tu shagala bagala ilimladi tu awe keshakutengea msosi. au utakuta chumvi hakuna au imezidi duuuu. sasa ndio maana hawakupewa cheo hicho cha kutuandalia sisi, hivyo kapewa cheo Anti mwaju mfanyakazi wetu wa kwanza katika hii nyumba, hivyo yeye ndio kapewa cheo cha kuiandalia familia yetu chakula.....

Nilikunywa chai fasta fasta ili niwahi school bus, maana likinipita hua naendaga na baiskeli, Sasa nikiwa naendelea kunywa chai zai alikua akijiandaa kwa spidi kali mno. na wakati alikua hataki kwenda shule

Nilimaliza kunywa chai kisha nikawaaga mama na Anti mwaju kwa kuwakisi katika paji zao za uso, Kisha nikatoka hadi nje ili niisubirie school bus... Niliisubiria kwa muda mrefu bila kujua kua kumbe ilishapita kitambo
Mara zai katokea na ligari lake huku akinipigia honi.
"twende wewe ushaachwa na bus"
"daaa ulijuaje ebu niwaishe chapu"
"nikuwaishe?"
"ndio niwaishe bwana nimechelewa"
"kwani mimi ni tax?"
"kwaio utaki au?"
"ok poa, we si mdogo wetu bhana lazima tukupende au sio?"
"aaaa we twende bhana"
Basi tulikua njiani tukielekea shule ila yeye shule yao ipo pembeni ya mji kidogo. ila yakwetu sisi ndio ipo pembeni sana

Hivyo alikua anipeleke kisha arudi kuelekes shuleni kwao huko maenro ya usa ila hufiki usa...
Sasa njiani zai akaanza stori zake
"sheby mdogo wangu?"
"ushaanza mambo yako"
"No but naitaji nikuombe msamaha"
"msamaha? msamaha wa nini?"
"najua jana nilikukosea sana mpaka mi mwenyewe nikajiskia aibu"
"aaaaa we yaache ayo"
"unajua jana kuna dawa nilimnywea mpenzi wangu... ila kwa bahati mbaya sikukutana nae, hivyo ndio maana ilikua inanisumbua. hivyo naomba unisamee mdogo wangu"
"ok, ni vizuri sana kama utakua umejielewa coz hakuna siku ulioniuzi kama jana. na pia nakusamehe lakini iwe mwanzo na mwisho kuja chumbani kwangu"
"mmhhhh lakini.....?"
"lakini nini zai? yaani hapa ni No way out for that, coz nahisi kabisa una jambo wewe"
"ok sawa nimekubali kutokuja chumbani kwako ila hata jana sikupenda kulala kwako bali nilipitiwa tuuu"
"ok poa nimeshakusameee"
"kweli?"
"sana tuuu"
"cheka basi?"
"utani staki"
"heeeeeee teena?"
"nishushe apa, hadi unifikishe mlangoni nini?"
"poa basi baadae"
"poa"
Nilishuka kisha akageuza gari huku akinipungia mkono wa kuniaga, nami nikampungia mkono kwa kumuaga...
Sasa ile nageuka tu niingie Class Nilikutana na Maadam fau uso kwa uso afu alikua kakasirika ile mbaya
"Assalam aleykh mwalimu?"



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: