SECONDARY SCHOOL
Sehemu Ya 23
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
"ok poa nimeshakusameee"
"kweli?"
"sana tuuu"
"cheka basi?"
"utani staki"
"heeeeeee teena?"
"nishushe apa, hadi unifikishe mlangoni nini?"
"poa basi baadae"
"poa"
Nilishuka kisha akageuza gari huku akinipungia mkono wa kuniaga, nami nikampungia mkono kwa kumuaga...
Sasa ile nageuka tu niingie Class Nilikutana na Maadam fau uso kwa uso afu alikua kakasirika ile mbaya
"Assalam aleykh mwalimu?"
TELEZA NAYOOOO
Yaani kama jinsi jana nilivyokua na wasi wasi juu ya maadam fau, kwa kosa la kumkimbia jana nyumbani kwake. sasa leo huezi amini nimekutana nae uso kwa uso maeneo ya mlango wa kuingilia class, hio ilikua ni baada ya kuagana na dada zai hivyo nilikutana na maadam fau na kumpa salamu yake kama ilivyoada ya shule yetu. Na muda huo nilikua naangalia chini kwa uoga na wasi wasi,
"Assalam aleykh mwalim?"
"itikia mwenyewe kama ni nzuri"
"kivipi tena mwalimu?"
"hujui kosa lako sio?"
"Aaahhh lakini mwa"
"lakini nini? ivi unaweza kumkimbia mwalimu wako anaekufundisha?"
"aaa nisamee mwalimu"
Mara Head Mistress kaja ( mwalimu mkuu wa kike )
"kuna nini apa?"
Alimuuliza mwalimu fau huku akiniangalia mimi
Sasa mwalimu fau akawa hana la kuongea akawa kimyaa. Sasa mimi nikachanganya akili fasta fasta na kumjibu mwalimu mkuu kua
"aaaa ni jana ticha fau aliniita nyumbani kwake nikamjengee banda la kuku, sasa nikawa sijaimaliza ile kazi nikaondoka. sasa ndio maana kanisimamisha hapa"
Heeeeeeee mwalimu fau mwenyewe alishangaa kwa hio sentensi iliotungwa na mkali wao sheby mashebibo....
"aaahhh sasa kwanini hujamaliza kazi ya mwalimu wako?"
Ooohoooo nilijua najitetea au kusuluhisha, kumbe ndio kwanza nimejikokea moto
"aaaa nilipigiwa simu kua m"
Daaaahh sijazoea kudanganya na siwezi kudanganya kamwe. bora tu niseme ukweli wa uongo japo sio uongo sana
"aaaaa niliamua tu mwenyewe mwalimu"
"haaaa yaani uache kazi ya mwalimu kisa nini?"
Mara ticha fau kadakia juu kwa juu
"ndio hebu mwambie huyu.. maana siku hizi hasikii kama nini uyu mtoto"
"sasa sikia sheby? leo jioni ukitoka nenda kamalizie kazi ya mwalimu wako sawa?"
"saw....saw...sawa.sawa mwalimu"
"mbona kama una kigugumizi?"
"aaaa hapana mwalimu niko sawa"
"ok. mwalimu faudhia? naomba umsamehe mwanafunzi wako..kwani nadhani atakwenda kukutekelezea kazi yako"
"asante mwalimu?"
Ticha fau alinipisha ili niingie class ila alikua kama hajaridhika hivi. coz kitendo cha kumtoroka nyumbani kwake ili asitekeleze alichokitaka duuu
Basi muda ulisonga hadi ilipofikia muda wa break ( mapumziko ) Milikua zangu nimetulia mahari nikijisomea zoezi ambalo ndio tumetoka kulifanyia kazi muda sio mrefu.
Sasa nikiwa zangu chini ya mti nimetulia mara ticha fau katokea na kukaa pembeni yangu
"ivi chidi? nikupe azabu gani ili nikidhi hasira zangu?"
"tichaaaa? lakini si nimeshakuomba msamaha ticha?"
"mimi sihitaji msamaha wako... bali nataka tumalizie tulichokua tunataka kukifanya"
"lakini ticha? mi si nimeshakwambia siwezi?"
"najua coz uliniambia, ila mi nataka tukalitumie wote lile toy, maana sijawahi kulitumia nikiwa na mtoto wa kiume bali nalitumiaga nikiwa na rafiki yangu"
"kwaio we watakaje?"
"tukalitumie"
"yaani unamaanisha niwe nakunanihii na hilo dude au hata mimi utaninanihii?"
"ah ah tulipatana nikuanze wewe"
"aaaa mi staki bwana"
"utataka tuu iwe isiwe lazima tukalitumie wote"
"sasa sikia ticha? naenda kusema kwa head master kua unanitaka kimapenzi"
"chidi? chidi? chidi rudi...chidi basi yaishe jamani"
Nilikua najifanya naenda staff huku nikiwa na begi langu mgongoni
Nilipoangalia nyuma nilimuona ticha fau kapiga magoti na kuniomba nisiende kusema... nilimuonea huruma na kurudi pale nilipokua..... Na hua staff wananisikiliza kuliko mwanafunzi wowote yule. maana kwanza sisemagi uongo afu ni mwanafunzi mwenye heshima na mwenye kujijali zaidi. hivyo nikisema tu. basi na ticha fau atafukuzwa kabisa, maana shule yetu ni shule yenye maadili ya kiislamu, hivyo hairuhusiwi upumbavu wowote ule ufanyike baina ya mwalimu na mwanafunzi....
"yaani chidi kweli nimeamini we ni shoga kweli, yaani unathubutu kwenda staff kweli?"
"ticha? mi nishakwambia staki"
"ok sawa ila utaona tu"
Niliona tu hayo ni maneno ya mwewe tu,
Basi tuliingia class ila ticha fau alinambia tena niende kwake baada ya kutoka saa 10. ila nilimuitikia kwakua tulikua tunaingia darasani
Ilipofika mida ya saa 10 kengele ya kutoka ikapigwa na wanafunzi wote tukasimama pared. kwa kupata mawili matatu kutoka kwa walimu...
Lakini mwalimu fau alikua ananitafuta kwa macho... ghafla akaniona kisha akaninyooshea kidole ili watu wasijue kinachoendelea baina yangu na mwalimu.
Mwalimu aliruhusu wanafunzi kuenda majumbani. hivyo nilikua nataka nimpoteze ticha fau kisha mimi nipande school bus. Na ticha fau alikua anaangalia huku na kule kama ataniona. Nilifanikiwa kupanda kisha chap chap bus likaondoka. Huku nikimuona bado anashangaa shangaa tu
Sasa nikawa nimeruka mkojo na kukanyaga mavi. kumbe siti niliokaa kulikua na shakira. kama unamkumbuka huyu mtoto wa kike. nae ana hisia za kutembea na mimi kimapenzi,
Nikakaa kimyaa kama simjui vile maana nikimuanza tu hapa ni kosa kwangu
Nikawa zangu najisomea junzuu ama...... Mara akaanza kunibana bana huku akisema
"kaa vizuri sheby?"
"asa linafasi lote hili bado unajibana tu?"
Niliamka kabisa na kusimama huku nikiendelea kusoma. maana shakira namjua ni msumbufu tu na hana swaga zozote.
Sasa kawaida ya school bus ikifika mahari kwenye kituo inaacha mwanafunzi. walikua wanashuka tu wanafunzi kila kituo. kwani mimi karibia nashukia karibu na kwetu kabisa hivyo itabakiza kama wanafunzi kama 10 hivi
sasa kuangalia chini nikaona gari ya ticha fau ikiovateki school bus. duuu nikajua sasa hii ishakua kirambasi. coz kama kashanifata hadi huku basi ni lazima nitimize dhamira yake
Lakini kwa bahati nzuri nikaona gari ya zai kwa nyuma ya basi. hivyo nikamfata dereva na kumuomba anipe ufunguo wa imejensi doo.. yaani ule mlango wa nyuma. maana mabasi hua yana mlango wa nyuma hivyo nilimsaundisha akakubali na kunipa ufunguo wa mlango huo. kwahio nitashuka tofauti na kituo ninacho shukiaga siku zote. Dereva alipunguza spidi kabisa ili niweze kushuka... nilifungua mlango vizuri na kubembea kimtindo huku zai akishangaa natokea na mlango wa nyuma...
Niliirushia ile funguo kwa ndani ili dereva aione kisha nikaifunga kwa nje huku nikiwa ninabembea katika vyuma fulani hivi... Nilipomaliza kuifunga nilijiachia na kudondoka kwenye lami... chap chap nikainuka na kuingia kwenye gari ya zai kwani ilikua kwa nyuma akiwa anarudi shule.
Niliingia fasta huku watu wakishangaa shangaa kwa kuruka kwangu, ndani ya gari zai alikua na rafiki yake alietoka nae shuleni
"we sheby? mbona umetokea mlango wa nyuma?"
"we acha tu zai yaani kuna liticha linanifatilia hilo"
"linakufatilia nini?"
"mi sijui"
"yuko wapi huyo mwalimu?"
"yupo mbele ya hilo bas"
"ndani au?"
"kwa mbele yupo na gari yake"
Tukaliovateki lile basi na kumuonyesha zai huyo ticha anaenifata fata.
"mmmhhh sasa anakufatia nini lakini?"
"aaaaahhh mi sijui bwana"
"ok tuyaache ayo... unamuona huyu? huyu ni rafiki yangu nasoma nae anaitwa nusura.. jina kama la dada etu"
"ok nashukuru kumfahamu"
Sasa huyo nusura wenyewe jamani ni mzuri uuuuwiiii yaani mtoto alikua ana sura ya upole mpaka raha yani. afu ana rangi ya asili kabisa... mtoto ni full choclate asee
Kweli sijawahi kupenda lakini hapo nimependa kwakweli. kwani alikua ni mpole hadi raha,
"lakini sheby? na wewe si ujitambulishe?"
Mimi nilikua nipo siti ya nyuma huku nikivua sweta la shule, maana kulikua na joto kali sana... Sasa nikawa nimebakia na kaoshi tu, huku nikiwa na suruali kama kawaida
Mara gari ilisimama na kumuona huyo nusura akishuka huku akifungua mlango wa siti ya nyuma. Nami nikafungua ili nitoke nikakae kwa mbele
"sasa unaenda wapi best? mi nilikua nakuja kukupa kampani huku nyuma"
Aaaaiseee mtoto alikua ana figa hilo duuu ni shidaaaa... yaani ni shidaa balaa tupu.. afu sketi kaikunja mpaka tati inaonekana
Ilibidi nikae tu huku nikiwa naona aibu ya hapa na pale
"mambo?"
Alinisalimia huku akiniangalia kiuchokozi chokozi tu.
"safi tu"
Mbona upo kimya ivyo? au unamuwaza huyo ticha wako?"
"ndio namuwaza yeye tu"
Sasa nusura akaanza kujishaua na mimi,
"mmhhh kaka una kifua"
"uo uchokozi ndio siutaki huo"
"samaani kama nimekuuzi"
Nikamuangalia mtoto na kumkuta kang'ata lipsi huku akiniangalia mimi tu.
Mara zai kaanza kuongea utumbo wake
"kaka sheby? mi nataka awe wifi yangu uyoo"
Aliongea hivyo huku akiendesha gari
"zai tueshimiane sawa?"
Mara nusura akaanza kuongea kwa kunituliza
"ah ah boy punguza asiraaa... kwani mi sifai kua mpen...."
"nini?"
Hakuongea kitu alitulia kimyaa huku aking'ata vidole tu.
Tulifika nyumbani kabisa na huyo mtoto wa kike akiwa nae yupo. Nilishuka kwenye gari kisha nikamuuliza zai kua
"huyu nae vip?"
"shebiii? kwani si kuna siku nilikuambiaga nina rafiki yangu anaomba kitabu chako? ndio huyu sasa?"
"sasa si angesema nimpe kulele njiani?"
"we si utoe tu hata hapo"
Sikua na nafasi ya kufungua begi langu hivyo niliingia zangu chumbani kwangu na kutupa begi kwenye kitanda kisha nikawa navua nguo. Mara nusura huyo kaja....
kumbuka hili jina la nusura yako mawili. jina la dada yangu nusura na jina la huyu dada nilieambiwa anaitwa nusura...
Aliingia bila hata ya hodi.
"kwanini umeingia chumbani kwangu?"
"jamani sheby? kwani si nimefata hicho kitabu"
"ok cheki hapo kwenye begi afu uondoke zako"
Kweli akachukua begi langu huku mimi nikiendelea kubadili nguo. Nilimaliza kubadili... sasa ile nageuka nilishangaa kumuona nusura akiwa kapambua kila kitu yaani kabakiwa na sidiria na chupi tu... aisee nilisisimkwa na mwili vibaya mno. tena ukizingatia na lile umbo la huyu mtoto wa kike lilikua ni balaaa...
"sheby? dada ako aliniadisia kua ana mdogo wake hensam na anaweza shuhuli vizuri. sasa leo nataka niione hio shuhuli yako"
"samaani sana naomba uvae nguo na uondoke"
Nilikua namuomba mungu hili lishetani liniondokeeee kabisaa
"plz sheby na mimi pia sio mara yangu ya kwanza kukuona"
Mara dada nusura akaja na kumkuta yule msichana akiwa katika hali ile
"heeeeee kulikoni tena?"
"mmnhh namshangaa huyu mdada akianza kuvua nguo zake"
"we mdada unaitwa nani?"
"naitwa nusura"
"heeeeee jina zuri, jina kama lakwangu, una umbo zuri, umbo kama lakwangu..afu unakuja kujizalilisha kwa mdogo wangu?"
"lakini?"
"lakini nini? hebu niambie una umri gani?"
"nina miaka 22"
"hebu ona sasa ni aibu gani hii kumkalia uchi mtu sawa na mdogo wako?"
"nisameee dada zai...ila ni zai ndio kanilazimisha"
"kwahio wewe ukiambiwa fanya na mbwa unafanya kwakua zai kakuambia sio?"
"hapana"
"haya vaa taka taka zako na uondoke"
Duuuu kanusura kalichangamka kuvaa nguo zake huku akiwa kama anataka kulia. Baada ya kumaliza kuvaa nguo... kuna kitu alitoa na kumpa dada nusura au wajina mwenzie
"hiii ni ya nini?"
dada nusura alimuuliza nusura kwa kile alichopewa
"zai kanipa ili nitembee na mdogo wako"
"mungu wangu... hebu subiri kwanza usiondoke...... zaiiii...zaaiiiii....weeeeee zaiiiiii?"
"abeee dada?"
"njooo haraka..... na wewe unakubali tu kirahisi rahisi si ndio? sasa leo mtanikoma na huyo mwenzio"
"weeee zai wee?"
"nakuja dada"
Zai alipokuja dada nusura akamswalika bonge la swali...
"zai? kabla sijakushushia kibano naomba uniambie yule mtoto wa kiume pale unamchukuliaje yule?"
"dada? yule si mdogo wangu yule?"
"Aaahaa ni mdogo wako sio?"
"ndiooo"
"ulimpa nini rafiki yako ili atembee na sheby?"

Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment