LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Jumapili Novemba 1
Everton 6 Sunderland 2
1900 Southampton v Bournemouth
+++++++++++++++++++++++
Arouna Kone Leo alipga Hetitriki yake ya kwanza kwa Everton ambayo iliibonda Sunderland Bao 6-2 katika Mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa Goodison Park.
Sunderland walianza Mechi hii kwa moto na mara 2 walipiga Posti lakini ni Everton waliofunga Bao kupitia Gerard Deulofeu na Kone.
Sunderland wakasawazisha kwa Bao za Jermain Defoe na Steven Fletcher lakini Bao la kujifunga wenyewe la Sebastian Coates na Bao za Romelu Lukaku na Bao 2 za Kone ziliwamaliza Sunderland.
++++++++
Everton 6
-Deulofeu 19′
-Koné 31′, 62′, 76′
-Coates 55′ (Kajifunga mwenyewe)
-Lukaku 60′
Sunderland 2
-Defoe 45′
-Fletcher 50′
++++++++
Ushindi huu ni furaha kwa Everton ambao wameshindwa kushinda Mechi 4 kati ya 5 zilizopita walizocheza kwao Goodison Park.
VIKOSI:
Everton: Howard, Coleman, Stones, Funes Mori, Oviedo, McCarthy, Barry, Deulofeu, Barkley, Kone, Lukaku
Akiba: Robles, Gibson, Mirallas, Lennon, Naismith, Osman, Galloway.
Sunderland: Pantilimon, Jones, Brown, Coates, Van Aanholt, Yedlin, Cattermole, M’Vila, Johnson, Fletcher, Defoe
Akiba: Larsson, Rodwell, Gomez, Lens, Graham, Mannone, Watmore.
REFA: Andre Marriner
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumatatu Novemba 2
2300 Tottenham v Aston Villa
Jumamosi Novemba 7
1545 Bournemouth v Newcastle
1800 Leicester v Watford
1800 Man United v West Brom
1800 Norwich v Swansea
1800 Sunderland v Southampton
1800 West Ham v Everton
2030 Stoke v Chelsea
Jumapili Novemba 8
1630 Aston Villa v Man City
1900 Arsenal v Tottenham
1900 Liverpool v Crystal Palace
**Ligi kusimama kupisha Mechi za Kimataifa
Jumamosi Novemba 21
1545 Watford v Man United
1800 Chelsea v Norwich
1800 Everton v Aston Villa
1800 Newcastle v Leicester
1800 Southampton v Stoke
1800 Swansea v Bournemouth
1800 West Brom v Arsenal
2030 Man City v Liverpool
Jumapili Novemba 22
1900 Tottenham v West Ham
Jumatatu Novemba 23
2300 Crystal Palace v Sunderland
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment