Stars jana ilifungwa 1-0 na Malawi Uwanja wa Kamuzu mjini
Blantyre katika mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo kuwania
tiketi ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi, hata hivyo wamekwenda hatua
ya mwisho ya mchujo kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda
2-0 Dar es Salaam na saa itamenyana na Algeria mwezi ujao
<a
href='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/ck.php?n=ae5caf5a&cb=Math.random()'
target='_blank'><img
src='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/avw.php?zoneid=18&source=https%3A%2F%2Fmpakasi.com&cb=Math.random()&n=ae5caf5a'
border='0' alt='' /></a>



Kocha
wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface
Mkwasa (kushoto) na
Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’
wakiongoza msafara wa timu hiyo kuteremka kwenye ndege baada ya kutua
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam
mchana wa leo, wakitokea Malawi.
Mbele kulia ni Hassan Isihaka, kushoto John Bocco na nyuma kulia Ally Mustafa ‘Barthez’ na kushoto Simon Msuva


Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
0 comments:
Post a Comment