Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney ambaye kwa hivi karibuni alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uingereza sambamba na tukio la kupewa kiatu cha dhahabu baada ya kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Uingereza.
Wayne Rooney ambaye ni baba wa watoto wawili wa kiume Kai na Klay aliyowapa akiwa na mkewe Coolen, ameonekana akiwa pamoja na familia yake licha ya kuwa busy wiki hii, Rooney alikuwa na majukumu ya timu ya taifa ya Uingereza pamoja na tukio la kuzawadiwa kiatu cha dhahabu na FA kwa kuweka rekodi ya ufungaji.
Staa huyo wa Man United alikabidhiwa kiatu cha dhahabu na Bobby Charlton baada ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uingereza kwa kufunga jumla ya goli 50, goli alilofunga mwezi uliyopita dhidi ya Switzerland limefanya kuvunja rekodi ya Bobby Charlton na kutimiza magoli 50.
\Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
0 comments:
Post a Comment