Wengi Wetu Tunatumia vifaa vingi vya teknolojia lakini kwabahati
mbaya huwa hatujui kuhusu historia fupi za vitu hivyo kwahiyo basi
nimeamua niwe nawaletea makala maalum kuhusu vitu mbalimbali ambapo wiki
iliyopita tulianza na FACEBOOK,AMPHICARS Na sasa ni Kuhusu meseji na
simu embu ungana nami kwenye maelezo haya na picha hizi kuhusu
utengenezwaji wa simu..
makala haya yameandalia na MOLLELPIXELS..
kama unaswalilolote au ungependa kuandaliwa makala yeyote yahusuyo teknolojia unaweza kutuinbox kwenye page yetu au kuminbox mollelpixels mojakwamoja kupitia fanpage yake ya
MOLLELPIXELS au tembelea blogsite yake ya GO BEYOND THE TECHNOLOGY
1983
Motorola DynaTAC 8000X
Analog Motorola DynaTAC 8000X .hii ndo ilikuwa simu ya kwanza kabisa duniani1989
Motorola MicroTAC 9800X
1992
Motorola International 3200
Hii ilikuwa simu yakwanza yakuweza kushikiliwa mkononi
Nokia 1011
Hii ndo ilikuwa simu ya kwanza kutumia GSM .1993
BellSouth/IBM Simon Personal Communicator
1996
Motorola StarTAC
Hii ndo ilikuwa simu ya kwanza ya kufunika na kufunuaNokia 8110
Sifa ya hii simu ilitumika katika movie ya kwanza ya Matrix.
Nokia 9000 Communicator.
1998
Nokia 9110i.
Nokia 5110
Ilipotengenezwa na kuingia sokoni iliuza sana katika miaka hiyo bila shaka labda nawewe umeshawahi kuitumia1999
Nokia 8210
Simu hii ilipendwa sana kwamuundo wake lakini ilichukiwa kwaudogo wa screen yake.Nokia 7110
Hahahahahah hii ndo simu ya kwanza kutengenezwa iliyokuwa na interenet japo ilikuwa black n white.Nokia 5210
nokia wametoka mbali kwelikweli.Benefon Esc!
Hii ndiyo simu yakwanza kabisa kuwa na GPS ilikuwa ikitumia satelite nailiuza sana huko ulaya.Samsung SPH-M100 Uproar
Hapa ndipo samsung walipojitokeza kwakutengeza simu yakwanza kabisa yenye kuweza kucheza nyimbi MP3.Nokia 3210
simu yakwanza kabisa pasipo antena2000
Ericsson R380
Hii ndo simu ya kwanza kabisa iliyokuwa na touchscreen japo ilikuwa ni black n white.Nokia 3310
Moja ya simu ambayo iliuza zaidi duniani kwamiaka hiyo hata mm nilishawahi kuitumiaEricsson R320
Hii ndo simu ya kwanza iliyokuwa na uwezo wa internet na ilyoweza kutengenezwa .2001
Nokia 5510
hii ndo simu yakwanza kuwa na QWERTY keyboard. pia ilikuwa na uwezo wa s 64mb zakuifadhia nyimboNokia 8310
Hii ndo simu yakwanza kabisa kuwa na INFARED,CALENDAR NA REDIO.Ericsson T39
Simu ya kwanza kuwa na BLUETOOTH.Ericsson T66
Ericsson T68
Simu ya kwanza kuwa na rangiSiemens S45
2002
Nokia 3510(i)
Nokia 7650
simu yakwanza kuwa na kamera.Sony Ericsson P800
simu yakwanza yenye rangi na nauwezo wa TOUCHSCREEN.Nokia 6100
ilikuwa na uwezo wa internet na rangi.Nokia 6310i
Simu yakwanza iliyosifika kwakukaa na chaji mda mrefu zaidi.Sanyo SCP-5300
simu ya kwanza kuwa na camera ya mbele.2003
Nokia 1100
simu nyingne iliyouza zaidi dunianiNokia N-Gage
Simu yakwanza kuwa na gamePalmOne Treo 600
Nokia 2100
Nokia 6600
Simu yakwanza iliyokuwa na operating system ya symbianBlackBerry Quark 6210
blackberry yakwanzaBlackBerry 7210
BlackBerry yakwanza kuwa narangiNokia 7600
simu yakwanza kuwa nauwezo wa wa 3G2004
Motorola Razor V3
Sony Ericsson P910
simu yakwanza kuwa nauwezo wote wa intanetNokia 7610
simu ya kwanza yakamera iliyokuwa nauwezo wa 1megapixel.Nokia 3220
simu yakwanza kutoka nokia ikiwa nauwezo wote wa kuperuzi.Nokia 6630
simu yakwanza kuwa na roaming.Nokia 7280
simu iliyotajwa kuwa simu bora kwamwaka ya 2004.2005
Nokia 1110
simu iliyotumika zaidi katika nchi zinazoendelea ikiwemo TZ.Nokia 6680
simu iliyochukua mda mrefu katika utengenezwaji wake.HTC Universal
simu yakwanza kuwa na windows mobile system.Motorola RAZR V3 Magenta
2006
HTC TyTN 100
Nokia N73
Motorola Q
ilitengenezwa kuipiku blackberry kwamiaka hiyoBlackBerry Pearl.
KDDI Penck
inapatikana japan tuuO2 XDA Flame
simu yakwanza kuwa na processor mbiliLG Chocolate KG800
Samsung i607 BlackJack
blackberry waliwashtaki samsung kwamuundo huu wasimu najina pia kwani zilifanana nabidhaa zaoNokia E62
ilitengenezwa kwawafanyabiashara2007
iPhone
ndo iphone yakwanza duniani mwaka 2007LG Prada KE850
LG Voyager
ilitengenezwa kuipiku iphoneHTC Touch
nao walitengeneza hii kujibu mapigo ya iphoneMotorola RAZR2 V9
Motorola Q9H
Nokia E90 Communicator
smartphone ya kwanza iliyokuwa katika muundo wa mfuatanoNokia N95
smartphone maarufu zaidi.Helio Ocean
LG Shine
Motorola RAZR2
simu ya kwanza kuwa na operaPalm Treo 755p
moja yasimu nzuri sana ambazo mm pia nimeshawahi kuzitumiaLG Viewty
simu iliyotengenezwa kama kamera ina 5megapixels2008
iPhone 3G
iphone ya piliLG Vu
T-Mobile G1 Phone
simu ya kwanza kuwa na android systemNokia N96
Nokia 5800 XpressMusic
LG Secret
Samsung Instinct
ilitengenezwa kuipiku iphone 3G ikiuzwa kabei rahisi kabisaBlackBerry Storm
moja yasimu nzuri kabisa iliyotengenezwa kujibu mapigo ya iphone 3G nilishapata bahati yakuitumia pia iko katika muonekano wa iphone nanimoja wapo ya blackberry inayokaa na chaji zaidiBlackBerry Bold
Blackberry yenye 3G na QWERTY keyboard.Samsung Behold
ilitengenezwa ikiwa na uwezo wakuonesha picha vizuri zaidi kushinda iphoneSamsung Gravity
yakwanza ya kuslide kutoka samsungMotorola Krave
Samsung Omnia
Nokia E63.
LG Dare
simu yakwanza iliyowezeshwa kuandika mesjeji kwakutumia mkonoSony Ericsson W760i
Nokia N79
HTC Touch Diamond
LG KC910 Renoir
Nokia E71
2009
Prada II or LG KF900
LG Arena
BlackBerry Curve 8900
LG Versa
Sidekick LX 2009
simu yakwanza kuwa nahuduma zote za mitandao ya kijamiiSamsung Magnet
LG Xenon.
HTC Magic
HTC Touch Diamond2
Samsung Propel Pro
LG Rumor2
Motorola Renew
Coming Soon
Palm Pre
Nokia N97
Omnia HD/Samsung i8910.
Hitachi WOOO Ketai H001 Phone
simu pekee zinazouzwa japanaPanasonic P001
Walkman Phone Premier3
Casio 001
S001 Sony Ericsson Cyber-Shot
Toshiba T001
Kyocera K001 Junior Phone
simu hii ninzuri zaidi ukimnunulia mwano kwani inauwezo wakukuonesha wapi alipo nakuzia asitumie intanet na baadhi ya website usizozitaka.
2010
2011
2012
makala haya yameandalia na MOLLELPIXELS..
kama unaswalilolote au ungependa kuandaliwa makala yeyote yahusuyo teknolojia unaweza kutuinbox kwenye page yetu au kuminbox mollelpixels mojakwamoja kupitia fanpage yake ya
MOLLELPIXELS au tembelea blogsite yake ya GO BEYOND THE TECHNOLOGY
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
0 comments:
Post a Comment