Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Musoma katika
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo,
Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment