Kumetokea
ajali ya helkopita ambayo Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa alikuwa
anasafiria pamoja na watu wengine ambao idadi yao haijafamika kwasasa,
wamepata ajali katika hifadhi ya Taifa ya Selous, taarifa za awali
zinasema wote wako salama.
Chanzo
cha ajali hiyo inasemekana ni kutua vibaya kwa chopa hiyo. Mhifadhi wa
Selous ameongea na familia punde na kusema wanawafuata eneo la ajalisource.itv
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
0 comments:
Post a Comment