Mwalimu wa shule ya Sekondari Kibasila,
Gaudensia Albert aliyekuwa akihifadhi kinyesi ndani kwake kwa miaka
miwili amepelekwa Hospitali ya Muhimbili baada ya daktari wa Hospitali
ya Temeke kubaini ana matatizo ya akili.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo,
Kyando amesema baada ya kugundulika kwa tukio hilo walimpeleka Hospitali
ya Temeke kwa kuangalia afya yake ambapo daktari akasema ana tatizo la
akili, wakamuhamishia Muhimbili.
Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari walimpatia dawa ambazo anatumia mpaka sasa pamoja na ushauri.
0 comments:
Post a Comment