MAKUBWA YAIBUKA!!!!...KONDOM ZAINGIA KATIKA FASHENI ZA NYWELE...soma hapa

Kila kukicha kumekuwa na mambo mapya katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwenguni huu wa sayansi na teknolojia. Kwa sasa kumekuwa na mitindo mbalimbali ya fashion kama kwenye nguo, makeup, viatu na kubwa zaidi kuhusu hii style mpya hapa mjini ya kila mtu kuweka dread kwa namna yake, sasa mama moja wa makamo na raia wa Ghana alitoa mpya baada ya nywele zake kuzivisha kondomu kwa kuzifunga kama dreadlock Ingekuwa ni Tanzania mwanamama kavaa kondom kichwan ingekuaje mtaani?????
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: