Dully kukwea pipa mwaka huu

Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Dully Sykes, amekiri kuvunja mwiko aliojiweka wa kutopanda ndege kutokana na kuwa muoga lakini amesema kufuatia ushindani wa soko la muziki hana budi kukwea pipa. Akihojiwa amesema kuwa ili kukabidiliana na soko la muziki hana budi kwenda kufanya video Afrika Kusini, na muongozaji Adam Juma, na kuongeza kuwa ameshapiga moyo konde kupanda ndege kwenda kufanya kazi zake nje ya nchi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: