DADA AWAFUNGUKIA WASICHANA WA MJINI WANAOBABAIKIA WENYE PESA NA WASANII NA MWISHO KUTUMIKA KINYUME NA MAUMBILE

Nimekutana na huu ushauri mzuri kutoka kwa Dada Aimal Ngonyani Huko Instagram kwenda kwa wadada wa Mjini Embu jisomee.... " Wadada wenzangu tuache kuishi maisha ya kuigiza na kufuata mkumbo jamani kinachotuponza ni tamaa na ulimbukeni, baadhi yetu tunapenda kuonekana tuna mahusiano na mwanaume fulani kisa tu ana Pesa nyingi au pengine ndo hivyo msanii, sasa hebu jiulize kisa ana pesa ndo akutumie Kinyume na Maumbile na kukupa gari funguo ya kutambia mitaani na kutupia pic insta?? Maana hii mitandao ya kijamii ndio inaongeza chachu wa wafir..ji? Watu wanatamani maisha ya wengine pasipokujua undani wake, wanawake tujitahidi kufanya kazi kwa bidii ili tuishi maisha tunayoyahitaji na thamani yetu iendelee kuwepo, hivi una raha gani ukipewa range funguo umepangiwa nyumba masaki wakati huo unatumika kinyume na maumbile unahisi unamkomoa nani kwenye jamii?? Na wewe mwanamke limbukeni utakuta umesoma una kazi nzuri kifupi maisha yako mazuri lakini unapenda show off za kutembea na msanii unahisi ana mb...oo ya dhahabu labda au? Haya ukishakua nae na kupiga pic insta wakati anakutumia kinyume na maumbile ndo unakua umeongeza nini kwa jamii? Sisi ukituma pic tutalike na comment yanayobaki hayo ni maisha yako binafsi, naamini sio wasanii wote wenye tabia hizo ukiona wa kwako ni msanii na anataka akutumie hivyo achana nae mara moja wewe ni mwanamke amini nyuma yake wapo wanaume wengi wanaokuhitaji kataa unyanyasaji wa kijinsia kisa yeye msanii au yeye ana pesa. Ndugu zangu pesa ukiitafuta kwa jasho lako inapatikana na wasanii wamejaa chungu mzima walio na majina na wasio na majina kama shida yako msanii tafuta mwenye penzi la dhati na wewe na atakae linda heshima yako na utu wako sio bora uonekane unamegwa na msanii wakati mwenzetu malinda huna huo ni upumbavu jipende mwili waki jithamini mwili wako heshima yako itasimama milele"
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: