Shilole kumzalia Nuh watoto wawili

Mwanamuziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kumzalia watoto wawili mpenzi wake Nuh Mziwanda, kutokana na mapezi motomoto anayopata kutoka kwa mpenzi wake huyo. Akihojiwa amesema kuwa, sambamba na kuwa na watoto wawili hakutaweza kumzuia kumzalia mpenzi wake watoto hao kwa kuwa amepata mpenzi ambaye ana kila sababu ya kupewa zawadi ya watoto.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: