Swali: Je kunyonyana ulimi au kula mate kunaweza kuambukiza VVU ?
Jibu: Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye.VVU mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au vidonda mdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulamba mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment