T.PAIN WA MAREKANI KUTUA MWANZA KUPIGA SHOO

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..


T-Pain ambaye jina lake halisi ni Faheem Rashad Najm, hatakuwa peke yake kwenye tamasha hilo lililopewa jina la Step Up, bali atakuwa na msanii mwenyeji wake Diamond Platnumz. Show hiyo itafanyika February 21 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
MWANZA!!! Get ready for the#STEPUP2015…. Kwa mara ya Kwanza Kabisa!!!, Hapa MONDI hapa NAPPY BOY! @Tpain you Better save the Date!..21| 02 |2015″Diamond ameandika InstagramT-Pain ni mwanzilishi wa label ya Nappy Boy Entertainment iliyoanzishwa 2005. November 21, 2014 aliachia single mpya “Coming Home” kutoka kwenye albumyake mpya na ya tano“Stoicville” ambayo bado haijatoka.

TOA MAONI YAKO HAPA

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: