Msanii wa filamu za Kibongo, ‘Tiko Hassan’ ameamua kufunguka kuwa hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo), wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.
Hata hivyo mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa akisikia tu kwa marafiki zake wakisema kuwa yeye ni gogo kitandani kitu ambacho yeye hakikumpendeza.
“Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,” alisema Tiko
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment