Mwanamuziki wa miondoko ya mduara, Snura Mushi “Snura”, baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kuwa mjamzito arejea jijini Dar es Salaam, kutoka Mbeya, na kali ya mwaka ya kumficha mwanaye asionekana na watu.
Jambo hilo limewashangaza watu na kuhoji ni kitu gani hasa ambacho kinamfanya amfiche mtoto ambaye inasemekana kuwa ni wa kiume, na kuongeza kuwa angeficha ujauzito na sio mtoto
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment