Madee afichua siri ya wasanii kutofanya vizuri

Msanii wa kundi la Tip Top Connection, Hamad Ally “Madee”, amefichua siri ya wasanii kutofanya vizuri na kusema kuwa ni kutokana na kurekodi nyimbo mfululizo na ndio maana hawafanyi kwa ufasaha. Amesema kuwa wasanii wanatakiwa kujipa muda ili kuweza kupika vitu vizuri vyenye radha ambayo haiwezi kuwakinai wasikilizaji na kuongeza kuwa wanatakiwa kuna na mawazo mapya na sio kuwa na wazo la aina moja. Amesema kwa upande wake amejipanga baada ya kurekodi wimbo wa sasa atakupumzika kwa muda wa miezi sita ili kuweza kuona kipi aongeze katika kazi inayofuata na maneno gani ambayo atayatumia kwa wakati ambao atahitaji kutoa ngoma mpya.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: