LIVE UP DATE MBEYA CITY VS TANZANIA PRISON
uwanja :sokoine
muda;4;30
mechinyingine ya ligi kuu tanzania bara hii leo ni kati ya tanzania prison na mbeya city halmaarufu kama wagonga nyundo;
mechi hiyo ya mbeya daby inatarajiwa kuwa upinzani wa hali ya juu kutokana na timu zote mbili kufamiana vizuri:
tembelea www.njenjenews.blogspot.com
mpira umeanza katika uwanja wa sokoine jijin mbeya ;
;
mpaka dk ya 20 kipindi cha kwanza tanzania prisons wanaongoza kwa goli moja;
Dk ya 30 gooooool mbeya city wanapata goli la kwanza linalofungwa na pauko nongwa
mbeya city moja na tanzania prison moja
mapumziko moja kwa moja
mbeya city wanapata goli la pili kipindi cha pili hapa sokoine
Mbeya city wanataka katika dimba la sokoine
Prison wanapata goli la pili
Hamis maingo anapewa kadi nyekundu;;
mpira umemalizika kwa 2 kwa 2
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment