Kiuno cha Avril chamdatisha Ommy Dimpoz

Umbile la mwanadada anayefahamika kwa jina la ‘Avril’ kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’, baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo. Ommy alifanya hivyo kupitia ukurasa wake wa Instragram baada kuiweka picha hiyo kisha kuanza kukisifia kijungu cha Avril kiasi cha kumfanya mmoja wa mashabiki wake atupie maoni akisema: “Unaonekana kaka wewe ni mgonjwa wa wanawake waliofungashia, ila huyu demu mkali.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: