Azam FC imekaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuichakaza Kagera Sugar mabao 3-1.
Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, mashujaa wa Azam FC walikuwa ni Didier Kavumbagu aliyefunga mabao mawili na Kipre Tchetche bao moja.
Azam FC imefikisha pointi 20 na kuiacha Mtibwa Sugar na Ruvu JKT yenye pointi 17 kila moja.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment