Huyu jamaa ameua watoto wake watano kwa imani za kishirikina

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..



candle_light_by_yalco-d4pqdezPolisi wa Pakistan wanamsaka Ali Nawaz Leghari, ambaye ni baba anayekabiliwa  na mashtaka ya kuua watoto wake watano kwa imani za kishirikina.
 
Mama wa watoto hao amesema alikuwa akigombana na mume wake kutokana na kitendo chake cha kujihusisha na masuala ya ushirikina, jaribio la kwanza la kuwawekea sumu watoto wake kwenye chakula cha jioni lilishindwa baada ya mkewe kumshtukia.

Mwanamke huyo alifanikiwa kukimbia na mtoto wake mmoja ambaye ni mkubwa na kuwaacha wengine watano ambao umri wao ni kati ya miaka 15 na wa mwisho miaka 3 ambao aliwapa dawa ya usingizi na kisha kuwanyonga.

Polisi walipofika kwenye nyumba hiyo walikuta miili ya watoto haoHaseena (15), Mukhtiar (12), Shabir (7), Humera (4) na Zameer (3), baada ya kufanya mauaji hayo akichukua basi na kutoroka, huku mtoto aliyenusurika akimwaambia Polisi kuwa baba yake ni muathirika wa dawa za kulevya na alitaka kujihusisha na masuala ya kichawi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: