GHANA YATIGA ROBO FAINALI AFCON

MABAO ya kipindi cha pili ya John Boye na Andre Ayew yameipa Ghana ushindi wa 2-1 dhidi ya Afrika Kusini wakitoka nyuma kwa 1-0 Uwanja wa Mongomo na kutinga Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika usiku huu. Matokeo hayo, pamoja na ushindi wa 2-0 wa Algeria dhidi ya Senegal katika mchezo mwingine wa Kundi C, yanaifanya Ghana imalize kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake sita. Algeria imemaliza nafasi ya pili, wakiwa na pointi sita pia, wakati Senegal imemaliza nafasi ya tatu na pointi zake nne na Afrika Kusini iliyoshika mkia imemaliza na pointi moja.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: