Za Chini ya Kapeti!! MH EDWARD LOWASSA AMELAZWA NJE YA NCHI NA AMEFANYIWA UPASUAJI MKUBWA

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa yako nchini Ujerumani kwa matibabu, imefahamika. Lowassa ambae wakati wote wa kikao cha bunge hasa kipindi cha majadiliano ya taarifa ya PAC hakuwepo Bungeni, amekuwa Ujerumani ambako amefanyiwa upasuaji wa Kongosho. Taarifa kutoka ndani ya familia zinadai kuwa hali ya Lowassa si mbaya sana lakini pia bado haijaimarika. Haijaweza kufahamika mara moja kama upasuaji huo ulifanikiwa kumaliza tatizo au la. Taarifa za kuugua kwa Lowassa zimefanywa siri kubwa ili kutowakatisha tamaa wafuasi wanaomuunga mkono katika mbio zake za urais 2015. chanzo- http://mtaaniitz.blogspot.com/
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: