MSANII: NIMETEMBEA NA MASTAA 15 BONGO

Jivunie kuwa mwana ludewa



Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake, Risasi Mchanganyiko linatiririsha.

Akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo:


Risasi: “Mzima Bozi?”

Bozi: “Mi mzima sana. Enhe! Karibuni  maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?”Risasi: “Tumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.
source .risasi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: