MANSOUR AHAMIA CHAMA CHA CUF

Mansour Yusuf Himid hatimaye amejiunga na chama cha Wananchi CUF.Mansour ambaye ni mmoja wa aliyewahi kuwa kiongozi wa juu katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akiwa kama Waziri wa kilimo. Akihutubutia mara baada ya kupewa kadi katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika viwanja vya Paje wilaya ya Kusini Unguja Mansour amesema kwamba ameamua kujiunga na chama cha CUF kwa kuwa chama hicho kimebeba matumaini mapya ya Wazanzibar. Naye Katibu mkuu wa chama cha CUF Seif Hamad amempongeza Maonsour kwa kujiunga hadharani kitendo ambacho ni cha ujasiri. Katika mkutano huo Bw. Mansour alikuwa kati ya watu 108 waliojiunga na chama cha CUF kwenye mkutano huo
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: