LWAKATARE WA CHADEMA ASHINDA KESI YA UGAIDI
MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili.
Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.
Habari mbali mbali za kitaifa;kimataifa;michezo na burudani; tunakuhabarisha kutoka ludewa mkoa wa Njombe na wilaya ya Ludewa
0 comments:
Post a Comment