KISOME KILICHOWAKUTA HAWA JAMAA BAADA YA KUIBA DUKANI
Kituko kutoka Kambani, Kenya kinahusu jamaa ambao walijikuta wakiingia kwenye kitanzi ambacho hawakukitegemea na kuadhirika mchana wa jua kali.Kituko kutoka Kambani,Kenyakinahusu jamaa ambao walijikuta wakiingia kwenye kitanzi ambacho hawakukitegemea na kuadhirika mchana wa jua kali.
Jamaa waliiba shilingi laki mbili na elfu ishirini za Kenya kutoka kwenye duka la mtu ambapo mwenye duka aliamua kwenda kwa mganga kufanya ‘mitego asilia’ iliyopelekea wawili hao kujikuta wanashikwa na usingizi mzito mbele za watu kutokana na dawa hizo.
Inasemekana kuwa hao ni wafanyakazi wake hivyo baada ya kushikwa na dawa waliangusha usingizi nje ya duka wanakofanyia kazi.
0 comments:
Post a Comment