KISA CHA AINA YAKE: MWANAUME AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUGOMA KUMTOA MKEWE OUTING..!

Kesi imefika Mahakamani, mke anaomba mumewe ashitakiwe eti kosa ni kitendo cha mwanaume huyo kugoma kumtoaoutingmkewe ili wakale chakula cha usiku katika mgahawa mkubwa town, ikaenda mbali zaidi pale mwanamke alipodai talaka. Uttar Pradeshni mwanamke aliyewasilisha madai hayo huko India dhidi ya mumeweAllahabad, ndoa yao ina miaka mingi ikiwa hai lakini kwa kosa hili la mume kumgomea outing mke wake kwenda diner kwenye migahawa mikubwa kama McDonald, tayari kumetia doa ndoa yao. Jaji akaona isiwe tatizo, Mahakama ikakataa kusikiliza kesi hiyo na badala yake, Jaji akashauri wakamalizane kwa mshauri wa masuala ya ndoa. Unadhani hii aliyofanya mwanamke huyu iko sawa mtu wangu?
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: