KHAN KUVAA BUKTA YA SH MILIONI 81 KATIKA PAMBANO LAKE LA JUMAMOSI
Bondia wa Uingereza, Amir Khan atavaa bukta ghali zaidi katika mchezo wa ngumi katika pambano lake la Jumamosi.
Khan anakipiga dhidi ya Devon Alexander katika pambano litakalochezwa kwenye jiji la Las Vegas, Marekani.
Bukta atayovaa ina vipande vya dhahabu kwa uzito wa karati 24, hivyo kuifanya uwe na thamani kuanzia pauni 20,000 hadi 30,000 (zaidi ya Sh milioni 81).
0 comments:
Post a Comment