KENYA: IGP AJIUZULU KISA MASHAMBULIZI DHIDI YA AL SHABAAB
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kuachia ngazi leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na usalama nchini humo.
Aidha, Rais Kenyatta amempendekeza Waziri Mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku.
Kwa mujibu wa Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na IGP Kimaiyo alikubali kustaafu majukumu kulitumikia jeshi la Polisi nchini Kenya
0 comments:
Post a Comment