Jaji wa Mahakama akubali rufaa dhidi ya Pistorius

Jaji wa Mahakama akubali rufaa dhidi ya Pistorius MAHAKAMA nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka, Gerrie Nel kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Oscar Pistorius baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kesi hiyo, sasa itaanza kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa makusudi.… Jaji Thokozile Masipa aliyemhukumu Pistorius, alisema hataruhusu rufaa dhidi ya hukumu hiyo aliyoitoa ya miaka mitano dhidi ya Oscar mwezi Oktoba mwaka huu. Gerrie Nel aliiambia mahakama kuwa hukumu hiyo ni ndogo sana ikilinganishwa na kosa la alilolifanya mwanariadha huyo maarufu wa Afrika Kusini.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: