KIJANA AFA AKIFANYA NGONO NA KAHABA,KAHABA ADAI YEYE NI MTAMU KUPINDUKIA

Kijana mmoja Nchini Malawi, Fletcher Jere (26) amefariki Dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre. Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre. Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe (pichani) amesema kuwa Bw. Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya Ngono na Kahaba huyo (sexual excitement and sweetness). Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatofunguliwa Mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: