ONYO KALI KUTOKA JWTZ KUHUSU WANAOVAA SARE ZA JESHI ILIHALI SI WANAJESHI

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo: “N G O M E”Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM22150463Sanduku la Posta 9203, Telex: 41051DAR ESSALAAM,20 Octoba, 2014 Tele Fax: 2153426 Barua pepe: ulinzimagazine@yahoo.co.uk Tovuti: www.tpdf.mil.tz Taarifa kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika. Aidha,kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ.Inakumbushwa kuwa kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake. ImetolewanaKurugenziyaHabarinaMahusiano Makao Makuu ya Jeshi,Upanga S.L.P9203,Dar es Salaam,Tanzania. Kwa Mawasiliano zaidi:0783 - 309963
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: