Kauli ipi ya kiongozi ilikuacha mdomo wazi?
1: Mtakula hata nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Basil Mramba)
2. Foleni Dar ni ishara ya maendeleo (Jakaya Kikwete)
3. Acheni wivu wa kike (Pius Msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (John Magufuli)
5. Wabunge wa Dar mnafikiria kwa kutumia makalio (Didas Masaburi)
6. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (Steven Wasira)
7. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (Mustapha Mkulo)
8. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (Juma Nkamia)
9. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm (John Nnyika)
10. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Philipo Mulugo)
11. Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Philipo Mulugo)..
Jivunie kuwa mwana ludewa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment