DEREVA TOYO sehemu ya 7
Ilipoishia Jana
Sasa ile nataka kusukuma tu Niliskia sauti ya baba ake na rey
"rehema? we rehema?"
Yaani tumbo lilinikata shaaaaaa
"we rey baba ako uyo"
"bwana jemsi acha utani hebu ingiza ukooo"
"acha ujinga we rey baba ako amerudi... kama huamini sikia anavyoita"
Baba rey alimuuliza hausi geli
"huyu mtoto yuko wapi? we batuli rehema yupo wapi?"
Hausi geli akajibu kwa usahihi kabisa
"rehema yupo chumbani kwake"
"sasa mbona namuita haitikiii we rehema?"
"mungu wangu jemsi ni baba kweli Uuuwiiii sasa tutafanyaje baby?"
"mimi sina cha kufanya yaani hapa nilipo nipo kama chura tu.. nasubiri unizibue mteke ili uniongezee hatua"
Endelea.
Kiukweli tulikua ni watu tuliokosa nguvu kabisa. Na zaidi ilikua ni mimi ndio nilikua natetemeka zaidi kuliko rey....
"jemsi fanya kitu basi"
"sasa mimi nitafanyeje rey?"
"sasa hata mimi sina cha kufanya"
"suluhisho ni uende ukamskilize kwanza"
"sawa ila utatokaje?"
"toka na simu...ili akipinduka tu na mimi nje"
"poa vaa nguo sasa"
Basi mtoto wa kiume nilivaa nguo huku nikiwa natetemeka balaa... Basi nilipomaliza kuvaa nguo na yeye alimaliza kisha akatoka nje...
Nikaskia sauti ya baba yake ikimuambia kua
"we ulikua wapi toka saa hio?"
Alimuuliza rey huku nahisi kama atakua anayatoa macho...
"nilikua nimelala baba"
"yaani we mtoto wewe aahh"
"sikuskia baba"
"haya mama ako anakuita dukani kwake"
"haaaa baba yaani mpaka mjini?"
"si tunaenda wote na gari"
"aaahh sawa"
"haya nenda kavae sasa"
Nilikua naskia kwa kupitia dirisha la rey
Baada ya dakika kama tano nilitumiwa meseji na rey
"tushaondoka"
Alisema hivyo nami nikamjibu
"kwaio nitoke?"
"ndio"
Basi mtoto wa kiume nilikurupuka balaa Tena bila hata ya kumuaga beki 3 ( hausi geli ) Nilikimbia hadi nyumbani huku nikiwa nahema hema juu juu...
"we jemsi una nini?"
Mama ndio aliniuliza hivyo nami nikamjibu huku nikiwa na hofu kubwa
"mh mh hamna kitu mama"
"sasa mbona hivyo?"
"wala tu mama nimekimbizwa tu na mbwa"
"mbwa gani we mtoto ndio uwe hivyo?"
"aahh mama ni dogi tuu"
Basi nilimdanganya mama angu huku nikijifuta jasho... maana nilisweti balaa....
Punde sii punde mara baba kafika
"shkamoo mzee?"
"maraha vp?"
"poa tu"
"vp umeenda kwa mjomba wako?"
"ndio ila nimekuta ndio anaiiuza"
"anaiuza?? kivipi na ndio kaniambia ukaichukue?"
"ndio hivyo sasa... ila huyo alioinunua pia anataka kuniachia"
"na umeshaongea nae?"
"ndio ila nitamfata kesho saa 4"
"uwahi sasa ili asimpe mwingine"
"ndio nitawahi"
Basi hayo yalikua ni maongezi baina yangu na mzee
Sasa nikiwa hapo nilipata meseji kutoka kwa rey.....
"vp umeshatoka?"
Nikamjibu fasta fasta huku nikificha simu.... maana mama akiona nachat na mwanamke itakua ni tabu kweli.....
Nilitoka nje kisha nikamjibu kwa meseji
"ndio nimeshatoka vp upo wapi?"
"nipo njiani narudi"
"poa mi nipo home"
"poa ila leo lazima tuendelee"
"ah ah bwana tufanye siku nyingine"
"mi staki bwana.... maana bado nawashwa"
"jikune tu ila leo sifanyi tena maana naogopa"
"unaogopa nini jemsi?"
"aaaa yaani ungejua ninavyotetemeka hapa"
"mmmh na wewe umezidi uoga"
"hebu tuache kuchati bwana nipo karibu na mama"
"poa basi nakuja sasa hivi"
"poa ila sisex tena"
"we nisubiri hapo hapo"
"sawa"
Basi nilimaliza kutumiana meseji na kuingia ndani..... Muda huo ulikua ni muda wa saa 11 jioni.... nilitoka na kuelekea zangu kijiweni... kucheki cheki ramani za kazi
"aaa nambie juma?"
"poa vp jemsi?"
"aaaaah poa tu vp ramani?"
"aaahh we si unaona bado tupo kijiweni tu"
Mara alipita mama saumu pale kijiweni
"we jemsi?"
"naam?"
"hebu njoo"
Aliniita huku mama akitabasamu kwa furaha nyingiii
"shkamoo"
"weee mi bado sijafkia uko"
"aa mi hua naheshimu mtu mwenye mtoto"
"kwaio hata nikikuita home huji?"
"nitakuja kwa sababu maalumu"
"ok tuyaache hayo.... nimekuita ili kukuambia juma tano namtoa mtoto wangu hivyo uje upige pige picha basi"
"ok sawa nitakuja....ni saa ngapi?"
"kama saa 7 hivi"
"nitafika basi"
"poa usikose basi"
"poa poa"
Mara meseji imeingia kutoka kwa rey....
"njoo hapa nje kwetu"
Nikamjibu mtoto wa kike huku nikimuaga mama saumu
"nisubiri hapo hapo maana ndani siingii"
"poa"
Niliwaaga masela wa kijiweni kisha nikamuwahi mtoto wa kike...
Kweli nilimkuta nje kwao akiwa amekaa kwenye gaden yao
"mambo rey?"
"poa ulikua wapi?"
"nilikua pale kijiweni....vp baba ako yupo wapi?"
"yupo ndani"
"haya umeniitia nini?"
"bwana na wewe sheby si turudie"
"afu we rey mi naona akili huna wewe"
"kwanini?"
"yaani muda sii mrefu tumeponea chupu chupu afu unadiliki kusema turudie?"
"we jemsi acha uoga na wewe yaani hadi nakushinda?"
"sikia kwanza ushaniharibia dili zangu..... hivyo kwa jinsi nilivyokoswa koswa na baba ako huu mchezo siutaki tena"
Sasa mtoto wa kiume nikawa mkali kuliko.....maana huyu mtoti anawaza ngono zembe tuuu hana lingine analowaza.....
Basi nilimuacha pale kwao akiwa ananishangaa shangaa utafikiri hanijui
BAADA YA SIKU HIO KUPITA
Na sasa ni saa 4:30 asubuhi.... na nilikua nishaakunywa chai..... sasa nilikua natoka kuelekea kwa yule mzee mwenye toyo
Hapakua mbali sana kwani nilipewa lifti na jamaa wangu..
0 comments:
Post a Comment