SERIKALI KUPIGA MNADA VIWANJA AMBAVYO HAVIENDELEZWI LUDEWA
Ludewa
Na.barnabas njenjema
Mamlaka ya ardhi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imewataka wananchi wote wilayan hapa kuwa na uelewa wa sheria za umiliki wa ardhi na jinsi wao wanavyogawa viwanja kwa wananchi mbali mbali.
Haya yamesemwa na Joseph kamonga ambaye pia ni afisa ardhi Wilaya ya Ludewa kufuatia malalamiko ya ardhi kutoka wa wananchi inagawiwa kuependeleo haswa kwa wafanyazi wa serikali pekee ila amepinga vikali kauli hiyo ameeleza kuwa ni hutokana na kutoelewa kila kitu hutokana na mazingira.
Pia ameongeza kuwa baadhi ya watu wilayani hapa wanatapali viwanja na kuuza viwanja ambavyo havistaili kuuzwa na badala yake wananchi wote wanaohitaji viwanja wafuate sheria za ununuz wa ardh kwa afisa ardh wa wilaya.
Aidha aliongeza kuwa kabla ya ujenzi wowote ule ni muhim kutafuta raman ya ujenzi huo na kibali cha ujenzi kwa wahusika wa ardhi wilaya,"ikumbukwe ukipata kiwanja na kuanza kujenga bila ya kibali wala raman kwan kufanya ivyo kutaweza kuwaingiza katika migogoro mbalimbali".aliongeza Bw.kamonga.
Hali kadhalika aliongeza kuwa Ili kuweka mji vizur ni muhim kuweka raman na kufuatilia raman pamoja na vibali ili kujenga nyumba sehem husika ili kuepuka kubomolewa nyumba zao kwa sababu mbali mbali."wilaya yetu bado inajengwa ivyo ni vyema tukaijenga kwa raman nzuri ili kuweka mji vizur"
Kufuatia malalamiko mengi ya wananchi ya kutokwenda kupima viwanja kamonga amelima wao wana wajabu wa kuweka mji wa ludewa ktk hali nzur nzur ivyo hutoa matangazo kwa wakati kwa watu wanaohitaji ardhi.
Changamoto ni viwanja vingi vinapimwa na haviendelezwi.
Pia kwa masikitika makubwa Bw.kamonga alisema wanakumbwa na changamoto nyingi ikiwa pamoja na watu wanachukua viwanja ila cha ajabu hawaziendelez wanaviacha kama vilivyo kwa muda mrefu hali inayofanya Wilaya ya Ludewa kutoendelea kwa maendeleo kwa haraka zaidi.
Akijibu tuhuma za Upendeleo kwa wafanyakaz wa halmashauli juu ya kugawa viwanja Bw.kamonga alisema kuwa malalamiko hayawez kuisha kwa wananchi ila wengi wao wanakimbia gharama za viwanja hivyo,maombi yanakuwa mengi ila sheria ndio inafuatwa kwa kugawa viwanja kwa wananchi wake pia ameongeza kuwa kwa sasa tunampango wa kupima viwanja vingi zaid ila tutabadili mfumo wa kuuza na kugawa viwanja hivyo ili kutenda haki kwa kila mmoja anayehitaji kiwanja.,
"kwa sasa maombi ya viwanja ni mengi kutoka kwa wananchi wa wilaya ya ludewa ila wengi wao hawaviendelez viwanja hivyo kutokana na sheria zinaluhusu kuuza viwanja ambavyo haviendelezwi iyo yote ni kuendeleza mji wa ludewa."aliongeza kamonga.
Pia amesisitiza wananchi wote kuendeleza viwanja vyao kama hawatafanya ivyo viwanja hivyo vitapigwa mnada kwani sheria inaluhusu kufanya ivyo.
Jivunie kuwa mwana ludewa
Blogger Comment
Facebook Comment