MAPOKEZI MAKUBWA YA KIHISOTORIA MTWARA MJINI 31/12/2014..... ZITTO, LIPUMBA WABEBWA JUU.... "UKAWA" NJIA NYEUPE KUELEKEA IKULU

Mji wote wa MTWARA mazungumzo ni MKUTANO na mapokezi ya Mchumi bingwa wa dunia Profesa Ibrahim Lipumba akiwa na Mzalendo Zitto Kabwe kijana Msomi na mpambanaji wa kweli. Taarifa zilizopo MAPOKEZI hayo yata anzia uwanja wa ndege mpaka katika viwanja vya MASHUJAA Mtwara mjini. Maswala ya nchi sasa kuchambuliwa KISOMI na sio KUPAYUKA bila tafiti kupitia wasomi hawa MAKINI pengine kupita wote TANZANIA. Ni uamuzi wa busara uliochukuliwa na Mhe Zitto Kabwe (mb) kufanyakazi pamoja na mchumi bingwa wa dunia Professa Ibrahim Lipumba. Mhe ZITTO ni kijana mzalendo, mwadilifu asiye penda "MITONYO" kwake nyeupe ni nyeupe na nyekundu ni nyekundu kwa faida ya taifa lake. Professa LIPUMBA ni mzalendo, mtetezi wa haki sawa kwa wote sio m binafsi ndio maana licha ya kuwa na kazi yenye heshima kubwa duniani bado amekuja kupigania taifa lake. Baada ya Mtwara Wazalendo hawa kuelekea Mwanza, Kigoma, Tabora, Singida na Dodoma maeneo mengine yata tangazwa badae. SASA UKAWA KUCHUKUA NCHI SIO UTANI, CCM KWISHA KABISA. Kwa niaba ya timu yetu ya" UKAWA CANDIDATE 2015 GROUP" tutawaletea kila litakalo jili kuanzia kesho hapa Mtwara. ‪#‎ UKAWA‬
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: