Epuka makosa haya wakati wa mapenzi mapya...Ilikujilinda tabia yako isijulikane haraka

Epuka kumpigia pigia simu kila mara kwani baadae ukipunguza kumpiga hata kuelewa, mpigie simu tu mara chache na mwambie jambo muhim then katasimu. Chukua muda kujua anapenda nini usikurupuke tu kumpeleka movies au club wakati hapendi, utamboa mara moja. Usijisifie sana kuwa eti wewe unajua sana mapenzi kwani hata yeye atatarajia makubwa kwako kumbe wewe mwenyewe huna kitu, tulia tu aje kujionea mwenyewe, kwani huwa mwanamke anapenda sana surprise Usionyeshe kukasirishwa na jambo kwa haraka, kwani utampa nafasi ya kukujua udhaifu wako mapema sana. Asijue nafasi yako ya kazi mapema wala kipato chako mwache akupende kama ulivyo hayo mengine atajua baadae.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: