Showing posts with label magazeti. Show all posts
Showing posts with label magazeti. Show all posts

LUDEWA CEMENT YATARAJIWA KUANZISHWA LUDEWA WAWEKEZAJI WA KAMPUNI YA KICHINA HWTZ KWA WANANCHI WA LUPANGA NA MASIMBWE

Katika juhudi za kukuza uchumi wa Wilaya ya Ludewa kupitia rasilimali zake kama chuma na makaa ya mawe, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Oliva...
Read More

MBONGO FC WAANDIKA HISTORIA MPYA MASHINDANO YA KUAMBIANA CUP LUDEWA

Na njenje ze ropo Ludewa sport Ligi ya mpira wa miguu ya Kuambiana Cup imezinduliwa rasmi tarehe 4 Mei 2025 katika Uwanja wa Masasi, ul...
Read More

Jogging Yazinduliwa Rasmi Ludewa – Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Michezo Yasisimua

Na @njenjeropo Ludewa Wilaya ya Ludewa imeandika historia kwa mara ya kwanza kwa kuzindua rasmi vikundi vya jogging katika hafla ya kip...
Read More

MKUU WA WILAYA YA LUDEWA ATOA SHUKRANI KWA MADAWATI ASISITIZA TATIZO BADO NI KUBWA

Na Njenje ze ropo Ludewa Ludewa – Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mheshimiwa Olivanus Thomas, ameonesha shukrani za dhati kwa wananchi na wadau m...
Read More