VETERANI COMBAIN YAWAONYESHA KIPAJI VIJANA WA KIPANGALA FC

VETERANI COMBAIN YAWAONYESHA KIPAJI VIJANA WA KIPANGALA FC
Mchezo wa Ligi ya Kuambiana Cup, unaoendelea katika Tarafa ya Masasi, Wilaya ya Ludewa, umemalizika kwa timu ya Veterani Combain kuwashinda vijana wa Kipangala FC kwa mabao 2–1.
Mchezo huo umeonyesha uzoefu na ubora wa wachezaji wa zamani, ambao licha ya umri wao, waliweza kuwazidi maarifa vijana wa Kipangala. Veterani hao wamethibitisha kuwa wao ni hazina kwa soka la kizazi kipya, wakionesha mbinu na ustadi wa hali ya juu katika kusakata kabumbu.
Inaweza kuwa picha ya maandishi yanayosema 'AUAMBIANA UAMBIANA cun cu/e LUDEWA 2025 KUAMBIANA CUP CUP2025 2025 MASASI MA 10.06.2025 KIPANGALA 2 VETERANI COMBINE ALPHA HAULE WAFUNGAJI RICHARD MAPUNDA STEER KAYOMBO COOB ANK Ratera KUAMSIANA INV HIANHIANAINVISIMINECNID SMINTEOEL Rudisha furaha nyumbani'
Tazama vilivyomo na matangazo
Hisia zote:
1


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: