Kuambiana cup leo

Kuambiana cup leo mchezo mkali wa vijana wa kipangala wao Wanawakalibisha combine ya veteran kutoka Tarafa ya Masasi .
Kipangara wameshiriki mashindano haya Kwa misimu kadhaa na walishacheza fainali na Ilela fc .
Combine veteran Kwa mara ya kwanza wanashuka dimbani kuwa vaa vijana Kwa kawaida wazee wa Kale wanauchaka vyema kandanda .
Je kipangara fc wataanza vyema karata yao siku ya leo ?
Odd Kwa wazee wa betting kipangara 1.53 veteran 7.25
Inaweza kuwa picha ya maandishi
Hisia zote:


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: