Magoli yetu manne yaliyofungwa na wachezaji wanne tofauti yameingia kwenye Listi ya magoli bora ya Msimu kwenye kombe la Shirikisho Afrika
Zimbwe vs Cs Constantine 
Ahoua
Ahoua vs Cs Sfaxien
Ateba
MPANZU vs Al masr
Kapombe
Goli la Mohamed Hussein lilikuwa goli Bora sana possibly anaweza kutwaa tuzo hii.

0 comments:
Post a Comment