UZINDUZI WA KUAMBIANA CUP 2024

UZINDUZI WA KUAMBIANA CUP 2024

🎯 Uzinduzi wa Mashindano ya Kuambiana Cup 2024,sasa utasogea mbele kdg kwa siku 3 kutokana na Mkurugenzi wa Kuambiana kukabiliwa na majukumu mengine ya Kitaifa siku ya Tar 23
Kwahiyo sasa Uzinduzi utafanyika siku ya Jumatano,Tar 26 June,2024

Siku hiyo Tutakiamsha ktk Uwanja uleule wa Vana va palochi, Ngelenge- Manda,Tarafa ya Masasi kwa Game kali  ya kukata na shoka,kati ya Shuma  F.C ya Ngelenge ambao ni Mabingwa watetezi,zidi ya washindi wa Pili, Masasi F.C,Refaree wa kati akitarajiwa kuwa Ramadhan Kayoko,Referee mwenye Beji ya FIFA,akiambatana na Othman Kazi;

  Mgeni Rasmi Ni  Mkuu wa Wilaya ya Ludewa,Mh dada yetu Victoria Mwanziva,akiambatana  na Mbunge wetu makini,na mpambanaji,Mh.Adv Joseph Zacharius Kamonga na Viongozi wengine mbalimbali wa Chama na Serikali(Mkoa na wilaya),Wasanii,na Wadau mbalimbali wa Michezo. 

 ðŸŽ¯ Waratibu/Wasimamizi wakuu ni
1:Joe Kipalamoto,na
2:Bernard R.R Haule







Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: