UTAJUAJE KAMA UNAPENDWA NA MMEO AU MKEO KATIKA MAHUSIANO

Utajuaje Mumeo anakupenda, ama ni zipi dalili za mapenzi ya dhati kwa mumeo kwako?
Hii itakusaidia sana kujua unapendwa kwa asilimia ngapi.
Kila sababu moja ina asilimia kumi.
Naanza.
1. Anafanya mambo ya familia kwa asilimia 100% mpaka 75%.
Yani uchumi wako hautegemei bali ni kwa sababu wewe ujizoeze kufanya kazi. Usikae tuu bila kujisbuhulisha.

2. Anakulinda sana. Hataki kuona mtu ana kuonea. Yani hata ndugu zake wanajua mipaka yao kwako. Na analisimamia hilo vyema.

3. Anakupa mdinyo wa maana. Hatua ya pili ya kileleni anakufikisha. Ile ya tatu anaweza asiweze kutokana na namna yako.Ila hatua ya pili ya kilele anakufikisha.

4. Kila mpango wa maendeleo kuhusu familia yenu anakushirikisha. Na anasikiliza wazo lako. Kama lina mashiko analipa kipaumbele.

5.Ukikosea anakuonya na kukuelekeza. Sio mtu wa kukupuuza.

6. Anakununulia zawadi na kukutoa out za hapa na pale kila apatapo nafasi.

7. SIO MTU WA KUSEMA SAMAHANI KWA MDOMO ILA VITENDO. (Elewa hii. )Anaweza asikuambie mke wangu samahani lakini namna anakutreat ni zaidi ya samahani.Anapenda kuona Furaha yako.

8.Anakusifia kila uchao namna yako
Muonekano wako nk. Sio mtu wa kukukosoa. (Ila anaweza kukutania)

9.Anapenda sana kukutambulisha kwa marafiki zake. Anajivunia sana wewe.

10. Anapenda sana kukuona ukiwa mwanamke anayejali Imani.Atasiitiza sana uwe Muombaji. (Wengi hupenda /huvutiwa zaidi na mwanamke Muombaji)




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: