MAAJABU: Hamjui Mwanaume miaka mitatu lakini kapata mimba





Mwanamke mmoja mkazi wa Singida anayefahamika kwa jina la Zaria Hamza ameingia kwenye headlines baada ya kupata ujauzito lakini bila kumjua mwanaume kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe.
Ni tukio la kustaajabisha maana mara yake ya mwisho kukutana kimwili na Mwanaume ilikua zaidi ya miaka mitatu iliyopita lakini juzi alijifungua mtoto…ilikuaje? hilo ndilo swali kubwa analolijibu.
“…nilikaa muda mrefu bila kupata mtoto hadi kupelekea kutengana na mume wangu 2014. Tulivyotengana sikutaka tena kuolewa wala sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote.” – Zaria Hamza.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: