Wolper Afunguka Kupenda ‘Vibamia’



Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline WOlper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live Jackline Wolper amesema hana sababu ya kupenda au kusifia wanaume wenye maumbile makubwa wakati yeye maumbile yake ni madogo.


“Actualy siwezi kusema nachukuliaje wanaume wenye maumbile madogo, na ndio nawapenda pia, kwa sababu mimi mwenyewe mdogo, nitapendaje vitu vikubwa ambavyo siwezi kuvihimili? Unajua mwanamke anayesema mwanaume mashine namshangaa, mwanaume pesa bwana, mwanamke ambaye anajua maisha, hawezi kusema mwanaume mashine, mimi mwenyewe siwezi kusifia mashine”, amesema Wolper.


Pamoja na hayo Jackline Wolpler amesema kwa sasa hataki kujihusisha sana na masuala ya mahusiano, kwani amezipa kipaumbele kazi zake tu.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: